4.7/5
Imekadiriwa na Wataalam wa Nostrabet

Uhakiki wa Betway

Tembelea Betway+Ubashiri wa Bure wa TSh 10,000
18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji
Leona Melvin
Author
Leona Melvin
Leona Melvin

Leona is part of the Content Writers team behind Nostrabet. With 6+ years of experience within the iGaming industry, she...

Maudhui ya Makala
Maudhui ya MakalaTOP

Betway ni mojawapo ya kampuni maarufu zaidi katika michezo ya beti. Kampuni hii imekuwa katika ulingo wa beti na kamari kwa muda wa zaidi ya miaka 15. Katika muda huo, kampuni hii imeweza kupenya baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Betway inawapa wachezaji wa Tanzania sehemu kadhaa za kucheza ikiwemo spoti, spoti za moja kwa moja na zile za kielektroniki.

Ili kufanikisha huduma bora za uchezaji, Betway inatoa baadhi ya huduma za kukuwezesha kufurahia wakati wako mtandaoni. Huduma hizi ni kama njia faafu za malipo, sapoti ya kukusaidia unapocheza na usalama wa hali ya juu.

Uhakiki huu utaangazia Betway kwa upana na kila kitu ambacho ni muhimu kwako ili uweze kuwa na wakati bora unapocheza.


Mpangilio na Uabiri wa Tovuti

Tovuti ya Betway imetengenezwa kwa umakinifu mkubwa ili kuhakikisha kila mchezaji ana nafasi murwa ya kucheza na kushinda, awe mzoefu ama limbuka. Baadhi ya vipengele vilivyotiwa maanani katika uundaji wa tovuti ni menu za uabiri, matumizi ya rangi ili kuvutia wachezaji na kuwepo kwa viungo vinavofungua kuraza jipya kwa wepesi.

Tovuti ya Betway ina rangi tofauti. Hizi ni kama rangi nyeusi, nyeupe na ya kijani huku zikitumiwa kwa ufaafu ili kuleta uwiano mzuri uvutiao jicho. Vile vile, kuna menyu kuu katika kona ya kushoto na nyingine chini yake. Chini ya menu hizi utapata sehemu iliyo na michuano yote, ya kati inayotoa soko za beti na ya tatu iliyo pembeni mwa kulia inakupa mkeka wa bet zako.

ukurasa wa nyumbani wa betway

Jinsi ya Kujisajili katika Betway

Bila shaka, ni lazima ujisajili kama mchezaji katika Betway ili uweze kufurahia huduma za beti na kamari. Hatua za kusajili akaunti yako ni kama zifuatazo:

usajili wa betway
 1. Fungua tovuti ya Betway katika kivinjari chako na kisha ubofye kiungo cha ‘Jisajili’ kilicho kona ya kulia.
 2. Katika ukurasa wa kwanza wa fomu ya usajili, weka nambari ya simu, nywila yako, majina na baruapepe.
 3. Katika ukurasa wa pili wa fomu, weka tarehe yako ya kuzaliwa, lugha yako na kisha msimbo wa usajili kama unao.
 4. Kubali umetimiza umri wa miaka 18 na kisha ukubaliane na masharti na sera ya fagha ya Betway.
 5. Bofya kiungo cha ‘Jisajili’ ili kukamilisha zoezi la usajili.

Betway Jisajili


Bakshishi ya Mwaliko wa Spoti ya Betway

Unapokamilisha usajili wako katika Betway, unajikwachulia nafasi ya kujinyakulia bakshishi ya mwaliko wa TSh 10,000 kama ubashiri wa bure. Bakshishi hii inakuwezehsa kubashiri kwenye timu, wachezaji na ligi zote uzipendazo.

betway kuwakaribisha bonasi

Baada ya kujisajili, Betway itakutumia pini ya wakati momoja almaarufu OTP. Baadaye, vinjari kwenye tovuti ya Betway sehemu ya vocha na kisha uweke pini hiyo ili kupata bakshishi yako mara moja.

Baadhi ya sheria na masharti ya bakshishi hii ya mwaliko ya Betway ni kama yafuatayo:

 • Lazima uwe na umri wa miaka 18 ili kupata ofa hii.
 • Unahitaji kuweka dau la bonasi mara 3 kwa odd za 3.00 au zaidi.
 • Bakshishi hii ya wateja wapya wa Betway inatolewa mara moja tu kwa akaunti mpya pekee.
 • Ubashiri huu wa bure unapatikana kwenye akaunti yako kwa siku 180 kutoka siku uliyoupokea.
 • Ubashiri huu wa bure ni lazima utumike wote pamoja kama ubashiri mmoja.
 • Kiasi cha juu zaidi kinacholipwa kweneye ubashiri huu ni Tsh 50,000.
 • Pindi tu unapotoa fedha, salio la ubashiri wako litatwaliwa na Betway.

Dai Bonus yako


Uwekezaji wa Dau katika Spoti kwenye Betway

kitabu cha michezo cha betway

Kama mojawapo ya kampuni ya uwekezaji dau iliyo na uzoefu mkubwa, Betway inakupa nafasi ya kuwekeza dau katika spoti tofauti tofauti. Baadhi ya spoti hizi ni kama hizi zilizoorodheshwa kwenye jedwali hili:

 • American Football
 • Bandy
 • Baseball
 • Basketball
 • Biathlon
 • Boxing
 • Cricket
 • Cycling
 • Darts
 • Golf
 • Handball
 • Ice Hockey
 • MMA
 • Rugby
 • Snooker
 • Table Tennis
 • Tennis
 • Volleyball
 • Air Hockey
 • Alpine Skiing
 • Aussie Rules
 • Beach Volleyball
 • Bowls
 • Cross Country Skiing
 • eSports
 • Floorball
 • Football
 • Formula 1
 • Futsal
 • Horse Racing
 • NASCAR
 • Politics
 • Ski Jumping
 • Specials
 • Speedway
 • Surfing
 • TV Shows and Movies
 • Water Polo
 • WWE

Soko za Dau Zilizopo

Unapocheza au kuwekeza dau zako katika Betway Tanzania, una nafasi ya kufurahia soko kadha zilizopo. Soko hizi zinapatikana kwa wingi ili kukupa fursa ya kuchagua inayokufaa zaidi na iliyo na faida kwako. Mifano ya soko za Betway ni kama matokeo ya mechi, chini/juu, ubashiri sahihi wa alama, game handicap, set handicap, idadi ya seti, magoli witiri/chanya na sare pamoja na masoko mengine mengi. Sana sana, utapata kwamba kila mchezo una masoko yake maalum hata ingawa yale mengi yanafanana.


Uwekezaji wa Dau wa Moja kwa Moja

Betway inakutolea nafasi ya kuweka dau katika michezo inayoendelea moja kwa moja. Katika sehemu hii iliyo kando ya michezo, utaweza kuweka dau katika michezo inayoendelea kwa wakati uliopo. Wakati tulikwa tunauandaa uhakiki huu, sehemu hii ilikuwa na michezo kadhaa iliyo na matukio yanayoendelea kwa wakati. Mifano ni kama soka, tenisi, mpira wa vikapu, kriketi, mpira wa wavu, bowls na tenisi ya mezani na mingineyo.

Ili kucheza katika sehemu hii, bonyeza kiungo cha ‘Zinazoendelea’ katika menu kuu ya tovuti ya Betway.


Odi za Betway

Betway inahakikisha kwamba unapata matokeo mazuri kwa kukupa odi nzuri na bora sana ikilingaishwa na kampuni nyingine za kamari. Baadhi ya michezo iliyo na odi nzuri zaidi ni soka, tenisi na mpira wa kikapu. Hata hivyo, utapata nafasi nzuri za ushindi katika kila mchezo.

Betway inakupa mifumo miwili ya odi. Mifumo hii ni ule wa desimali na mwingine wa akisami. Kubadilisha mfumo wa odi, tembelea sehemu ya ubadilishaji kwa kubonyeza menyu kuu.


Sifa Muhimu za Kutumia unapowekeza Dau katika Betway

Kuwekeza dau hakuwezi kamilika na kuwe na misisimko kama hutaweza kuwa na baadhi ya sifa maalum. Jambo hili limepelekea Betway kubuni baadhi ya vipengelele vifuatavyo:

Utoaji wa Dau yako kabla ya Muda

Unapoweka beti yako, angalabu huwa una tumaini kubwa mno la kushinda. Hata hivyo, mchuano au tukio ulilowekezea linaweza likabadilika na ubashiri wako ukose mwelekeo. Hili linamaanisha beti yako itapotea. Lakini, unaweza ukatoa pesa kwenye dau hiyo kabla mambo yaende kangaja na uweze kuokoa sehemu ya fedha ulizowekeza. Ili kujua kama dau yako inakuwezesha kutoa kabla wakati wa mechi ukamilike, enda kwenye slipu yako ili ubaini ukweli.

Utazamaji wa Michuano wa Moja kwa Moja

Sifa ya kutazama mechi moja kwa moja kutoka kwenye tovuti ya Betway ipo. Hata hivyo, sio kila mchuano au tukio lililo na nafasi hii. Basi unafaa kuangalia kama kuna ishara ya televisheni. Pindi tu ukiiona, basi tukio hilo linakupa fursa hiyo ya utazamaji wa moja kwa moja.

Kijenga Beti

Ujenzi wa Beti ni mojawapo ya huduma utakayoipata katika Betway. Huduma hii inakupa nafasi ya kuleta pamoja beti kadhaa bila ugumu wowote. Ili kutumia huduma hii, enda kwenye mchezo uutakao baada ya kuchagua tukio lolote na utapata ‘Jenga Mkeka’ Bonyeza chaguo hilo na kisha uanze kujenga beti zako.


Uwekaji wa Beti katika Michezo ya Kielektroniki almaarufu esports

Kando na michezo halisi inayochezwa uwanjani, unaweza ukashiriki kuweka beti katika baadhi ya michezo ya kielektroniki pia. Kushiriki beti katika sehemu hii, bonyeza ‘Esports’ katika menu kuu ya tovuti. Michezo iliyo katika sehemu hii imejengwa kwa ufaafu na inakupa njia kadha za kujivinjari kwani utaweka dau na ufurahie kucheza.

betway esports

Baadhi ya michezo ya kilelektronki utakayopata katika sehemu hii ni kama League of Legends na Counter Strike. Vile vile, michezo hii ina masoko yake maalum na matukio kem kem.


Kasino ya Betway na Bakshishi Zake

Hapo awali, Betway ilikuwa inawapa wachezaji wake nafasi murwa ya kushiriki katika michezo ya kasino na ile ya kasino ya moja kwa moja. Hata hivyo, maguezi kadha wa kadha yametendeka na jambo hili limepelekea kuondolewa kwa sehemu hizi bili mihimu kwa wachezaji wa Tanzania. Hili halimaanishi kwamba sehemu iliyobaki ya spoti na spoti za kielektronki hazitoshi kuwahamasisha wachezaji. La hasha! Hizi zipo na zinawapa wateja wa Betway nafasi za kufurahia michezo na pia kujishindia pesa taslimu katika ubashiri wa beti.

Kabla ya kuondolewa kwake, sehemu ya kasino na ile nyingine ya kasino ya moja kwa moja zilikuwa zinawapa wachezaji nafasi za kushiriki michezo ya sloti, poka, bingo na mingineyo. Vile vile, kulikuwa na bakshishi na ofa kadha wa kadha ili kuwapa wachezaji motisha ya kuendelea na michezo.


Programu ya Rununu ya Betway kwa Wachezaji wa Tanzania

programu ya simu ya betwayMatumizi ya apu kwenye michezo ya kamari imekuwa maarufu mno. Hili limepelekea kampuni nyingi za kamari kutengeneza apu hizi maalum ili kutosheleza matakwa na mahitaj ya wachezaji wake. Hata hivyo, Kampuni ya Betway haina programu yoyote maalum ya rununu kwa wachezaji wa Tanzania licha ya kuwa apu hii iko kwa mataifa mengine mengi.

Kulingana na majibu tuliyopata kutoka kwa mhudumu wa wateja wa Betway, program hii inaundwa kwa wakati huu na huenda ikapatikana hivi karibuni.

Licha ya kukosa apu maalum ya rununu, wachezaji wa Betway Tanzania wana nafasi ya kushiriki beti kupitia kwa rununu zao. Hili linafanyika kwa matumizi ya tovuti ya rununu katika www.betway.co.tz. La ajabu ni kwamba huhitaji kubihi chochote ili ufurahie huduma za tovuti hii kwenye simu yako.

Pindi tu unapoweza kuingia kwenye mtandao kupitia kwa kivinjari chochote, basi weka kiungo cha tovuti kwenye kivinjari chako na kisha utaweza kucheza kwenye Betway.

Tovuti ya rununu ya Betway inakupa huduma zote muhimu zipatikanzao kwenye tovuti kuu. Unaweza kucheza, kuzungumza na wahudumu wa wateja, kuweka na kubihi pesa zako na vile vile kuifunga akaunti yako iwapo unatatizwa na uraibu wa kamari.


Njia za Malipo

Ili kufanikisha michezo yako ya kamari katika Betway, unafaa kuweka na kutoa pesa kwenye akaunti yako. Kama njia mojawapo ya kuhakikisha hili linatendeka bila hitilafu yoyote, Betway Tanzania imebuni njia kadha za kufanikisha malipo ambazo sana sana ni zile za rununu.

Hata kabla tuangazie njia hizi za malipo, ni vyema kukujuza kuwa hufai kuwa na wasiwasi wowote kwani njia hizi ni salama, faafu na za kutegemewa. Majedwali haya mawili yanaonyesha baadhi ya njia za malipo, viwango vya juu na chini na muda utakaosubiri ili malipo yako yafanikishwe.

Payment MethodDeposit MinimumDeposit MaximumTime for DepositMinimum WithdrawalWithdrawal MaximumTime for Withdrawal
Airtel LogoAirtelTSh 1,000TSh 1,000,000Mara mojaTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
M-Pesa LogoM-PesaTSh 100TSh 1,000,000Mara mojaHaipatikaniHaipatikaniHaipatikani
Tigo LogoTigoTSh 1,000TSh 1,000,000Mara mojaTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
Vodacom LogoVodacomTSh 1,000TSh 1,000,000Mara mojaTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3

Usalama wa Tovuti ya Betway

Betway ni tovuti iliyo na umakinifu sana ifikapo ni usalama wa wachezaji wake. Kila mchezaji anapenda usalama wa maelezo yake binafsi na hata yale ya malipo. Ili kuwapa dhamana wachezaji wake kuhusu usalama wao, Betway inatumia teknoljia ya kisasa ya SSL-encryption ili kuhakikisha watu wasionuiwa hawana ufikivu wa maelezo yako.

Vile vile, Betway imetoa maelezo ya sera ya faragha kwa upana. Katika maelezo haya, utaweza kufahamu jinsi maelezo yako yatakavyotumiwa na Betway. Kwa sababu Betway inatawaliwa na Bodi ya Michezo ya Tanzania chini ya Wizara ya Fedha, basi kuna masharti chungu kizima ambayo ni lazima kampuni hii ifuate. Baadhi ya masharti haya yanaangazia jinsi ya kuwalinda wachezaji wa Tanzania kutokana na dhuluma na kufinyiliwa.


Programu ya Washirika

Betway imekata kauli kueneza na kukuza jina lake hapa Tanzania na nje ya Tanzania. Hivyo, imechagua ushirikishaji kama mbinu mojawapo ya kufikia wachezaji wengi zaidi kadri ya uwezo wake. Programu iliyoaminiwa kuendeleza kampeni hii ya ushirikishaji ya Betway ni BetwayPartnersAfrica. BetwayPartnersAfrica inakupa nafasi ya kuwaleta wachezaji wapya chini ya Betway Tanzania nawe unalipwa kwa komisheni. Komisheni yako inategemea idadi ya wachezaji wapya unaowasajili kupitia kwa kiungo chako maalum ulichopewa.

Unapojiunga na programu hii ya washiriki wa Betway, utapewa baadhi ya vifaa vya kuendeleza shughuli ya kuuza sera za Betway. Vile vile, utapewa sapoti, malipo yasiyochelewa na pia uhuru wa kuunda vifaa zaidi vya kuweka katika tovuti yako ya washiriki.


Maswali ya Mara kwa Mara Kuhusu Betway

Je, Betway ni salama kwa maelezo yangu ya kibinfasi kweli?

Naam, Betway i salama kabisa kwa maelezo yako ya kibinafsi. Kuna matumizi ya teknolojia ya SSL encryption na vile vile kuna maelezo ya faragha yanayokutolea hakikisho kwamba maelezo yako yote ya salama katika Betway.

Ninaweza kutumia programu ya rununu ya Betway kweli?

Kwa sasa, Betway haina programu yoyote ya rununu. Hata hivyo, unaweza ukacheza michezo ya beti kwa njia ya tovuti ya rununu.

Ni njia zipi za malipo ambazo ninaweza kutumia katika Betway Tanzania?

Kuna njia kadha za malipo ambazo unaweza ukatumia. Baadi ya njia hizi ni kama Airtel Money, Vodacom MPesa, Tigopesa na Huduma Agent baadhi ya nyinginezo.

Ni lazima nisajili akaunti ili niweze kushiriki michezo katika Betway?

Naam, hauna chaguo jingine lolote. Ni lazima usajili akaunti ili uweze kushiriki michezo katika Betway.

Ninaweza kuzungumza na wahudumu wa wateja wa Betway kwa njia zipi?

Unaweza kuzungumza na wahudumu wa wateja wa Betway kwa njia kadhaa. Njia hizi ni kama vile mazungumzo ya moja kwa moja kwenye tovuti, baruapepe au hata mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter.

Je, Betway inatoa huduma za kasino na kasino ya moja kwa moja kwa wachezaji wa Tanzania?

La hasha, kwa sasa Betway haitoi huduma za kasino wala zile za kasino ya moja kwa moja.

Ninajihisi mraibu wa kamari. Ninaweza kufanya nini?

Iwapo unajihisi mraibu wa kamari, ni vizuri utembelee sehemu ya kushiriki kamari kwa uwajibikaji almaarufu responsible gambling ili upate msaada. Unaweza kufunga akaunti yako milele au hata ujipe likizo ya kamari.


Kuhusu Betway

Kampuni ya Kamari ya Betway ni kampuni mojawapo ya zile maarufu zaidi duniani. Kampuni hii ilianza mnamo 2006 katika Umoja wa Ulaya. Kufuatia unawiri mkubwa, Betway imeweza kukita mizizi Afrika, na ndiposa inahudumu katika nchi kama vile Nigeria, Kenya, Uganda na Tanzania miongoni mwa mataifa mengine.

Hata ingawa haina programu ya rununu kwa Watanzania kwa sasa, Betway inawapa wachezaji wa nchi hii nafasi ya kutumia tovuti ya rununu kushiriki spoti kadhaa. Odi zake ni murwa na hili linawapa wachezaji kila sababu ya kuweka beti zao. Shughuli zote za Betway nchini Tanzania zinadhibitiwa na Bodi ya Michezo chini ya Wizara ya Fedha ya Tanzania.


Sapoti na Wahudumu wa Wateja wa Betway

Unapoendelea kushiriki michezo uipendayo katika Betway, unaweza ukazungumza na sapoti au wahudumu wa wateja ili kutatua ugumu wowote unapocheza. Ili kufanya hivyo, Betway imetoa njia kadhaa za kuwasiliana na wahudumu wa wateja. Baadhi ya njia hizi ni kama zifuatazo:


Makadirio na Hitimisho

Betway ni kampuni maarufu sana ulimwenguni. Kampuni hii imejitolea mhanga kuhakikisha kuwa wateja wake wanapata nafasi ya kucheza katika zaidi ya spoti thelathini, wahudumu wazuri wa wateja, odi za kupendeza na pia tovuti nzuri na rahisi kuabiri. Licha ya hayo, Betway inawapa wachezaji bakshishi ya makaribisho na huu ni ukarimu mkubwa mno. Kutokana na hayo, tuna ukakamavu wa kupendekeza Betway kwa wachezaji walio na uzoefu na hata wale wapya.

Timu yetu ya uhakiki inaituza Betway Tanzania kadirio la 4.7/5.

Jiunge na Betway

Author
Leona Melvin
Leona Melvin
Leona is part of the Content Writers team behind Nostrabet. With 6+ years of experience within the iGaming industry, she has an in-depth knowledge of casinos and games.
Leave Review
Your Rating : 1/5
Ongeza Ukaguzi

No reviews added yet. Be the first!