Betway

Msimbo wa Bakshishi wa Betway

Ubashiri wa Bure wa TSh 10,000
18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji
Grab £50 Bonus
United Kingdom - *New customers only. Opt-in required. 100% Match Bonus up to £50 on 1st deposit of £10+. 50x bonus wagering applies as do weighting requirements. Debit Card & PayPal deposits only. This offer is valid for 7 days from your new account being registered. Irregular gameplay may invalidate your bonus. Rest of World - *New customers only. Opt-in required. 100% Match Bonus up to €/$250 on 1st deposit of €/$20+. 25% Match Bonus up to €/$250 on 2nd deposit. 50% Match Bonus up to €/$500 on 3rd deposit. 50x bonus wagering applies as do weighting requirements. Credit Card, Debit Card & PayPal deposits only. Irregular gameplay may invalidate your bonus. 18+ T&C apply | begambleaware.org | gamstop.co.uk | Play Responsibly
Maudhui ya Makala
Betway Tanzania Bonasi na Matoleo
Aina ya ofaMaelezoMsimbo wa Matangazo
→ Betway Sports Karibu Bonasi50% hadi TSh 10,000
Reveal Code
→ Kuongeza pesahadi mara 20 kwa dau lako kurudishiwa
Reveal Code
→ Kuongeza Ushindihadi 100%
Reveal Code

Jinsi ya Kutumia na Kuwezesha Msimbo wa Bakshishi wa Betway?

Betway ni kampuni maarufu ifikapo ni masoko ya beti na utoaji wa bakshishi mbali mbali kwa wachezaji wake. Hata hivyo, kampuni hii haitoi bakshishi zake kwa yeyote yule ila kwa wale waliosajili akaunti katika kampuni hii. Hivyo, unafaa kujisajili kwanza ili upate nafasi ya kufurahia bakshishi zake kwa kufuata hatua zifuatazo:

betway msimbo wa bonasi ingiza
 1. Fungua tovuti rasmi ya Betway kwa kutumia kivinjari cha chaguo lako.
 2. Bofya kiungo cha kibichi kilichoandikwa ‘Jisajili’ katika kona ya kulia.
 3. Katika fomu itakayojitokeza, weka nambari ya rununu, unda nywila ya akaunti yako na kisha uweke jina lako kamili likifuatwa na baruapepe.
 4. Katika ukurasa wa pili wa fomu ya usajili, ingiza tarehe yako ya kuzaliwa na kisha uchague lugha yako ikifuatwa na msimbo/nambari maalum ya bakshishi ya Betway kama unayo.
 5. Thibitisha kuwa una umri wa miaka 18 na kisha ukubaliane na sheria, masharti na sera ya faragha ya Betway.
 6. Bonyeza ‘Jisajili’ katika hatua ya mwisho ili kukamilisha usajili wako.

Dai Bonasi

Kama huna msimbo wowote wa bakshishi, basi usiwe na shaka yoyote ya kupata bakshishi yako ya mwaliko. Hili ni kwa sababu ukiweka fedha kwenye akaunti, utaweza kudai bakshishi yako ya mwaliko bila tatizo wala pingamizi lolote.


Bakshishi ya Mwaliko ya Betway katika Upande wa Spoti

Je wewe ni mchezaji katika sehemu ya spoti ya Betway? Basi una bahati kama mtende kwani pindi tu unapokamilisha zoezi la kusajili akaunti yako na kuweka kiwango kidogo cha fedha, utaweza kupata bakshishi yako ya mwaliko inayokujia kama ubashiri wa bure almaarufu free bet.

betway kuwakaribisha bonasi

Tunafahamu sana swali lako la pili linahusu kiwango cha ubashiri wa bure utakaoupata, sivyo? Basi fahamu fika kwamba utapata ubashiri wa 50% hadi TSh 10,000! Naam, kiwango hiki ni kizuri sana kwani kitakuwezesha kucheza spoti kadha na kukufungulia fursa nyingine nyingi za kujishindia pesa taslimu katika Betway Tanzania.

Hatua za kudai bakshishi hii ya mwaliko ya Betway ni rahisi mno. Pindi tu unapokamilisha usajili, Betway watakutumia pini ya wakati mmoja almaarufu OTP. Ukishatumiwa pini hii, abiri kwenye Betway hadi sehemu ya akaunti na kisha sehemu ya vocha. Hapa, weka kodi ya vocha yako ili upate ubashiri wako wa bure papo hapo.

Nina uhakika mkubwa umependezwa sana na bakshishi hii ya ubashiri wa bure, sivyo? Hata kama hivyo ndivyo kulivyo, ni vyema ujue kwamba kuna sheria na masharti kadha ambayo ni lazima uyafuate na uyatimize ili ufurahie bakshishi yako. Masharti haya ni kama yafuatavyo:

 • Una nafasi ya kudai ubashiri huu wa TSh 10,000 kwa mara moja tu pindi tu unapojisajili kama mchezaji mpya.
 • Ubashiri wa bure wa Betway unaweza kutumika tu katika sehemu ya michezo ya Betway ila hauwezi kuhamishwa au kutumika kama mbadala katika sehemu nyingine yoyote.
 • Ili kuondoa hazina ya bonasi, unahitaji kuziweka kando pamoja na kiasi cha amana mara 3 kwenye dau zenye odd za 3.00 au zaidi.
 • Kutoka siku ya kwanza ya kupokea ubashiri wako wa Betway, una siku 180 kuwa umeutumia. Baada ya muda huu, ubashiri wako utatolewa kutoka kwa akaunti yako ya Betway.
 • Fedha za ubashiri huu wa bure hazirejeshwi na kiasi kilichowekwa kwenye ubashiri hakijumuishwi kwenye ushindi wowote. Hivyo, utapata fedha za ushindi peke yake.
 • Kiwango cha juu zaidi ambacho utalipwa kutokana na ubashiri wako wa bure ni Tsh50,000.
 • Utoaji wa fedha hauwezekani kutoka kwa salio la ubashiri wa bure lakini salio la ubashiri linaweza kutumika katika uwekaji wa bashiri tu.
 • Betway ina kibali cha kubatilisha au hata kuondoa promosheni hii kwa wakati wowote ule bila kutoa notisi yoyote kwa wateja wake wa Tanzania.

Pata Bonus yako


Bakshishi ya Mwaliko ya Betway katika Upande wa Kasino

Hapo awali, Betway ilikuwa na nafasi ya kasino na kasino ile ya moja kwa moja kwa wateja wake katika nchi za Afrika kama vile Kenya na Tanzania. Lakini kwa sasa, sehemu hizi mbili zilizokuwa zinawapa wateja nafasi nzuri ya kushiriki michezo ya kamari ya sloti, bingo na bahati nasibu imebatilishwa na kuondolewa. Hivyo, wateja wa Tanzania hawana sehemu hii na hivyo bakshishi yake ya mwaliko haipo tena.

Ni tumaini letu kwamba sehemu ya kasino itapatikana hivi karibuni ili nao Watanzania waweze kufurahia michezo yake pamoja na bakshishi zake murwa.


Promosheni kwa Wateja Waliojisajili Awali

Tayari tumeona kwamba Betway inatoa bakshishi kadha kwa wateja wake wanaosajili akaunti vipya. Lakini, twajiuliza kama kuna bakshishi zozote kwa wateja wazoefu ama hawana haja nao tena. Tulipofanya uhakiki wetu vyema, tuling’amua ya kwamba Betway ni kampuni karimu kupindukia kwani inawatolea wateja wake wa kale bakshishi chungu kizima. Bakshishi hizi zinatofautiana moja na nyingine katika njia kadhaa. Mifano yake ni kama rejesho la ubashiri almaarufu cashback, uzidishaji wa fedha kwa asilimia, kurudishiwa fedha na ujengaji mkeka wa kiotomatiki.

Naomba tuchuke fursa hii ili kujadili kwa kina baadhi ya bakshishi hizi za Betway. Je, u tayari twende?

Pata Hadi 20x Kurudishiwa Ubashiri Wako

Promosheni ya kurudishiwa fedha katika Betway inakuhitaji kuweka angalau beti sita au zaidi kwenye mkeka wako wa pamoja/mkusanyiko. Iwapo chaguzi moja litakufeli, basi kampuni ya Betway itakurudishia fedha zako mara 20. Hili litakuwezesha kuendelea kuweka beti kwingne na ushinde zaidi.

betway kuongeza

Baadhi ya masharti ya kichocheo hiki cha kurudishiwa fedha na Betway ni kama yafuatayo:

 • Ili kufaulu kurudishiwa fedha zako, ni lazima uweke kati ya beti 6-10 na kila moja iwe na odi ya angalau 1.5.
 • Katika promosheni hii, unaweza kutumia pesa taslimu peke yake kuweka beti.
 • Fedha utakazorejeshewa zitawekwa kwenye akaunti yako kama pesa taslimu.
 • Utafaulu kurejeshewa fedha iwapo ubashiri wako utakuangusha kwa chaguzi moja peke yake.
 • Ili kushiriki, unaweza ukaweka bashiri za moja kwa moja, zile za kabla ya mechi na hata za papo hapo.
 • Bashiri zote ambazo zimelipwa fedha hazitakupa nafasi ya kufurahia promosheni hii.
 • Kama mechi mojawapo ya bashiri zako imeahirishwa, kubatilishwa au kutupiliwa mbali, basi bashiri hiyo haitachangia kwenye promosheni hii.

Zidisha Fedha Zako za Ushindi wa Ubashiri wa Mkusanyiko Hadi 100%

Promosheni hii inakupa fursa ya kuzidisha ushindi wowote uliotokana na bashiri za mkusanyiko hadi kiwango cha 100%. Bakshishi hii inajumuisha mechi zote zilizo na matumaini ya odi za 1.2 kupanda na ni lazima ziwekwe kwenye mkeka wa mkusanyiko. Kumbuka kwamba ukitaka ushindi mkubwa, basi huna budi kuweka teuzi nyingi zaidi kwenye slipu yako ya mkusanyiko.

betway win kuongeza

Badhi ya sheria na masharti ya promosheni hii ki kama yafuatavyo:

 • Ni lazima uwe umesajiliwa kama mchezaji halali katika Betway.
 • Ni lazima teuzi zako zote kwenye beti ya mkusanyiko ziwe na odi za angalau 1.2 kwenda juu.
 • Baada ya kufanikiwa, fedha zako za ushindi zitawekwa kwenye akaunti yako kama pesa taslimu.
 • Uzidishaji wa promosheni hii unaanza 5% kwa matukio matano na unazidi kuongezeka jinsi unavyoongeza teuzi katika beti yako ya mkusanyiko hadi 100%.
 • Uzidishaji wa ushindi utaonyeshwa kiotomatiki kwenye mkeka wako. Usipouona, basi mkusanyiko wako haujafuzu kwa promosheni hii hata kidogo.

Udhibiti Kamili wa Bashiri Zako kwa Kutumia Kurudishiwa Fedha

Katika kichocheo hiki, unapata nafasi ya kutoa pesa ulizoweka katika dau lako hata kabla kipenga cha mwisho kimepulizwa. Ofa hii ni muhimu kwani inakupa uwezo wa kuokoa kiwango cha dau lako kwani unaweza ukatoa unapoakisia kwamba beti yako itaambulia patupu.

betway cash out

Baadhi ya sheria na masharti ya bakshishi hii ni kama:

 • Kipengele cha kurudishiwa fedha kinapatikana kwa bashiri pekee na zile za mkusanyiko tu.
 • Betway haitoi hakikisho lolote la kupatikana kwa kipengele hiki cha kurudishiwa fedha kwa tukio au ubashiri wowote.
 • Kipengele cha kurudishiwa fedha hakipatikani kwa bashiri zilizowekwa kwa fedha za bure.
 • Hata baada ya uamuzi kutolewa na unahitimu kupata bakshishi hii, Betway ina ruhusa ya kubatilisha fedha zako.

Jenga Mkeka

Betway inakutolea fursa ya kujenga mkeka na kuweka zaidi ya machaguo 10 ikiwa ni pamoja na yale ya matokeo ya mwisho ya mechi, mfungaji wa goli la kwanza, timu zote mbili kufungana na machaguo mengi zaidi kutoka kwa mechi moja. Tafadhali fahamu mambo haya muhimu kuhusiana na ofa hii ya ujenzi wa mkeka:

betway bet wajenzi
 • Jenga mkeka ni ofa ya mchezo wa soka peke yake.
 • Jenga mkeka haistahiki huduma ya utoaji wa fedha kabla ya mechi kukamilika almaarufu cash out.
 • Jenga mkeka inapatikana kwa machaguo ya kabla ya mechi tu.
 • Machaguzi yako ya jenga mkeka yasiwe chini ya 2 na yasizidi 10.

Je, Ninaweza kupata Bakshishi katika Betway pasi na kuweka Fedha katika Akaunti Yangu?

Katika kampuni nyingi za kamari na dau, ni nadra sana kupata bakshishi pasi kuweka kiwango fulani cha fedha katika akaunti yako. Hata hivyo, Betway inakutolea nafasi ya kufurahia bakshishi ya bure bilashi kwani ofa ya mwaliko kwa mfano haikuhitaji kuweka fedha zozote kwenye akaunti yako ili kufaulu kuipata.

Hata hivyo, kuna baadhi ya bakshishi ambazo zinahitaji uweke fedha ili uzipate.


Ofa Kwa Ajili ya Kucheza kwenye Programu na tovuti ya Betway ya Rununu – Je, yapatikana?

Jambo la msingi zaidi ni kwamba Betway haina programu ya rununu. Hata hivyo, wachezaji wake wana nafasi ya kushiriki michezo ya beti kwa njia ya tovuti ya rununu. Licha ya hilo, wachezaji wa tovuti hii hawana bakshishi maalum. Hivyo, hawana budi kutazama sehemu ya promosheni ya Betway na kudai ofa na bakshishi wanazohitimu kupata.


Njia za Malipo

Kufanikisha shughuli za uchezaji katika Betway kunahitaji juhudi kadha mojawapo ikiwa ni kuwepo kwa njia faafu za malipo. Hivyo basi, Betway imejikaza kisabuni kuhakikisha kwamba una machaguo kadha ya njia hizi. Hata ingawa baadhi yazo zinategemea mifumo mipya ya malipo ya rununu, zote zi salama kabisa na zinategemeka. Tazama njia za malipo, viwango vyake na muda wa kufanikisha malipo katika Betway kwenye majendwali haya mawili:

Payment MethodDeposit MinimumDeposit MaximumTime for Deposit
Airtel LogoAirtelTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
M-Pesa LogoM-PesaTSh 100TSh 1,000,000Mara moja
Tigo LogoTigoTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
Vodacom LogoVodacomTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
Payment MethodWithdrawal MinimumWithdrawal MaximumTime for Withdrawal
Airtel LogoAirtelTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
M-Pesa LogoM-PesaHaipatikaniHaipatikaniHaipatikani
Tigo LogoTigoTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
Vodacom LogoVodacomTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3

Maswali ya Mara kwa Mara Kuhusiana na Bakshishi za Betway

Je, ninaweza kupata ofa maalum kwa sababu ya kucheza kupitia tovuti ya rununu?

La hasha! Hutapata ofa yoyote maalum kwa sababu ya kucheza katika Betway kwa njia ya rununu. Wachezaji wote wana nafasi sawa za kudai bakshishi.

Ninaweza kupata bakshishi pasi na kuweka fedha katika akaunti yako?

Naam, Betway inakupa bakshishi ya mwaliko bila kuhitaji wewe kuweka fedha za kwanza.

Ni lazima niwe na kodi /msimbo maalum wa bakshishi ili nifurahie ofa za Betway?

La, si lazima uwe na msimbo wa bakshishi wa Betway ili ufurahie ofa zake.

Ninaweza kufurahia ofa zaidi ya moja katika akaunti yangu ya Betway kweli?

Naam, unaweza ukajipatia bakshishi zaidi ya moja katika kampuni ya michezo ya Betway.

Je, ni nini kitafanyika iwapo nitakiuka sheria na masharti ya ubashiri wa bure unaotolewa kama mwaliko katika Betway?

Unapokiuka sheria na masharti ya ubashiri wa bure wa Betway, ubashiri huo wa mwaliko unaweza kutolewa ubaki bila ofa yoyote ya mwaliko.

Ninaweza kutoa pesa za ubashiri wa bure katika Betway?

Hilo haliwezekani kamwe. Licha ya hayo, unaweza ukatumia ubashiri huo wa bure kuweka bashiri zako na baadaye utoe fedha za ushindi zitokanazo na ubashiri wako.

Ninaweza kujisajili zaidi ya mara moja katika Betway ili nipate bakshishi mara dufu?

La hasha, hilo halikubaliki katika Betway. Kujaribu kusajili akaunti mara dufu kutapelekea kufungwa kwa akaunti yako na huenda ukabaniwa milele katika Betway.


Makadirio ya Bakshishi na Hitimisho

Waama, kampuuni ya Betway imejitolea sana kuwahamasisha na kuwafurahisha wateja wake kwa bakshishi na ofa kem kem. Unaposajili akaunti yako vipya, unapata bakshishi ya mwaliko na pindi tu unapoimaliza, utaweza kudai bakshishi na promosheni nyingine zitolewazo kwa waeja walio na uzoefu katika Betway. Jambo la maana zaidi ni kwamba hatua za kudai ofa zote ni rahisi na nyepesi. Kwa sababu hii, tunaweka ukadiriaji mzuri wa bonasi zinazotolewa na betway Tanzania.

Betway bonuses ratings
87%
Sports Signup Offer
90%
Bonus Terms
90
Promotions for Existing Players
90%
Free Bets
89%

Amount
In Percent
Min. Deposit
Turnover
Min. Odd
TSh 10,000
50%
TSh 100
3x
3.00
Pata Bonus yako
18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji
Author
Leona Melvin
Leona Melvin
Leona is part of the Content Writers team behind Nostrabet. With 6+ years of experience within the iGaming industry, she has an in-depth knowledge of casinos and games.
Comment

Bado hakuna maoni yaliyoongezwa. Kuwa wa kwanza!